Proverbs 26:23
Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo 2 ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Burning lips and a wicked heart are like a potsherd covered with silver dross.
In Context
22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; 2 huingia sehemu za ndani sana za mtu. 1
Cross References
Proverbs 10:18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, 2 na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. 1
Proverbs 25:4Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, 2 nako ndani yake kutatokea chombo 2 cha mfua fedha. 1
Ezekiel 33:31Watu wangu wanakujia, kama wafanyavyo, nao wanaketi mbele yako kama watu wangu na kusikiliza maneno yako, lakini hawayatendi. Kwa maana udanganyifu u katika midomo yao, lakini mioyo yao ina tamaa ya faida isiyo halali.
Luke 11:39Ndipo Bwana akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na uovu.