Proverbs 25:4
Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, 2 nako ndani yake kutatokea chombo 2 cha mfua fedha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take away the dross from the silver, and there shall come forth a vessel for the finer.
In Context
3Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, 2 ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. 1
5Ondoa waovu mbele ya mfalme, 2 nacho kiti chake cha enzi 2 kitaimarishwa kwa njia ya haki. 1
Cross References
Psalms 66:10Ee Mungu, wewe ulitujaribu, 2 ukatusafisha kama fedha. 1
Isaiah 1:25Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, 2 nitawasafisha takataka zenu zote 2 na kuwaondolea unajisi wenu wote. 1
Malachi 3:2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.
2 Timothy 2:20Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida.