The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 26 › Proverbs 26:7

Proverbs 26:7

Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia 2 ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The legs of the lame are not equal: so is a parable in the mouth of fools.

In Context

6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, 2 ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 1

8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo, 2 ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. 1

Read all of Proverbs 26

Cross References

Psalms 64:8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao 2 na kuwaleta kwenye maangamizi; 1 wote wawaonao watatikisa vichwa vyao 2 kwa dharau. 1

Proverbs 26:9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi 2 ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. 1

Luke 4:23Yesu akawaambia, “Bila shaka mtatumia mithali hii: ‘Tabibu, jiponye mwenyewe! Mambo yale tuliyosikia kwamba uliyafanya huko Kapernaumu, yafanye na hapa kwenye mji wako.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 26:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 26:6Proverbs 26Proverbs 26:8 →