Proverbs 26:6
Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, 2 ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that sendeth a message by the hand of a fool cutteth off the feet, and drinketh damage.
In Context
5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 1
7Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia 2 ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu. 1
Cross References
Proverbs 10:26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1
Proverbs 25:13Kama vile ubaridi wa theluji wakati wa mavuno 2 ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwa wale wamtumao, 2 huburudisha roho za bwana zake. 1