Proverbs 27:13
Chukua vazi la yule awekaye dhamana 2 kwa ajili ya mgeni; 1 lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo 2 kwa ajili ya mwanamke mpotovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take his garment that is surety for a stranger, and take a pledge of him for a strange woman.
In Context
12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. 1
14Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu 2 asubuhi na mapema, 2 itahesabiwa kama ni laana. 1
Cross References
Exodus 22:26Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,
Proverbs 20:16Chukua vazi la yule awekaye dhamana 2 kwa ajili ya mgeni; 1 lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo 2 kwa ajili ya mwanamke mpotovu. 1