Kutoka 22:26
Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 24:10Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
Job 24:9Mtoto yatima hupokonywa matitini; 2 mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 1
Psalms 10:14Lakini wewe, Ee Mungu, unaona shida na huzuni, 2 umekubali kuyapokea mkononi mwako. 1 Mhanga anajisalimisha kwako, 2 wewe ni msaada wa yatima. 1
Proverbs 20:16Chukua vazi la yule awekaye dhamana 2 kwa ajili ya mgeni; 1 lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo 2 kwa ajili ya mwanamke mpotovu. 1
Ezekiel 18:7Hamwonei mtu yeyote, 2 bali hurudisha kilichowekwa rehani kwake. 1 Hanyangʼanyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake 2 na huwapa nguo walio uchi. 1