The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 27 › Proverbs 27:18

Proverbs 27:18

Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, 2 naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whoso keepeth the fig tree shall eat the fruit thereof: so he that waiteth on his master shall be honoured.

In Context

17Kama vile chuma kinoavyo chuma, 2 ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. 1

19Kama uso uonekanavyo kwenye maji, 2 ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonyesha alivyo. 1

Read all of Proverbs 27

Cross References

Genesis 24:2Akamwambia mtumishi wake mkuu wa vitu vyote katika nyumba yake, yule aliyekuwa msimamizi wa vitu vyote alivyokuwa navyo, “Weka mkono wako chini ya paja langu,

Genesis 39:22Kwa hiyo msimamizi wa gereza akamweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa pamoja na kusimamia yote ambayo yalitendeka mle gerezani.

1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.

2 Kings 5:2Siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemteka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani.

2 Kings 5:27Ukoma wa Naamani utakushika wewe na wazao wako milele.” Kisha Gehazi akaondoka mbele ya Elisha, mwenye ukoma, mweupe kama theluji.

Psalms 123:2Kama vile macho ya watumwa 2 yatazamavyo mkono wa bwana wao, 1 kama vile macho ya mtumishi wa kike 2 yatazamavyo mkono wa bibi yake, 1 ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu, 2 mpaka atakapotuhurumia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 27:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 27:17Proverbs 27Proverbs 27:19 →