The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 27 › Proverbs 27:17

Proverbs 27:17

Kama vile chuma kinoavyo chuma, 2 ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Iron sharpeneth iron; so a man sharpeneth the countenance of his friend.

In Context

16Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo 2 au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono. 1

18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, 2 naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 1

Read all of Proverbs 27

Cross References

Joshua 2:24Wakamwambia Yoshua, “Hakika Bwana ametupa nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.”

1 Samuel 13:20Hivyo Waisraeli wote huteremka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu.

2 Samuel 10:11Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itawabidi mje kunisaidia. Lakini kama Waamoni watawazidi nguvu, basi nitakuja kuwasaidia.

Proverbs 27:9Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, 2 nao uzuri wa rafiki huchipuka 2 kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu. 1

Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1

1 Thessalonians 3:3ili mtu yeyote asifadhaishwe na mateso haya. Mnajua vyema kwamba tumewekewa hayo mateso.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 27:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 27:16Proverbs 27Proverbs 27:18 →