Proverbs 27:21
Kalibu ni kwa ajili ya fedha 2 na tanuru kwa ajili ya dhahabu, 2 bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As the fining pot for silver, and the furnace for gold; so is a man to his praise.
In Context
20Kuzimu na Uharibifu havishibi 2 kadhalika macho ya mwanadamu. 1
Cross References
1 Samuel 18:7Walipokuwa wanacheza, wakaimba: 1 “Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake.”
1 Samuel 18:30Majemadari wa jeshi la Wafilisti waliendelea kupigana vita na kadiri walivyoendelea kupigana, Daudi akazidi kutenda kwa hekima kuliko maafisa wengine wa Sauli, nalo jina lake likajulikana sana.
2 Samuel 15:6Absalomu akaendelea na tabia hii mbele ya Waisraeli wote waliomjia mfalme kumwomba awape haki; kwa hiyo Absalomu akaiba mioyo ya watu wa Israeli.
Psalms 12:6Maneno ya Bwana ni safi, 2 kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, 2 iliyosafishwa mara saba. 1
Proverbs 17:3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu, 2 bali Bwana huujaribu moyo. 1
Malachi 3:3Ataketi kama mfuaji na asafishaye fedha. Atawatakasa Walawi, naye atawasafisha kama dhahabu na fedha. Kisha Bwana atakuwa na watu watakaoleta sadaka katika haki,