The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 27 › Proverbs 27:20

Proverbs 27:20

Kuzimu na Uharibifu havishibi 2 kadhalika macho ya mwanadamu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hell and destruction are never full; so the eyes of man are never satisfied.

In Context

19Kama uso uonekanavyo kwenye maji, 2 ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonyesha alivyo. 1

21Kalibu ni kwa ajili ya fedha 2 na tanuru kwa ajili ya dhahabu, 2 bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. 1

Read all of Proverbs 27

Cross References

Job 26:6Mauti + 26:6 Yaani Kuzimu; Kiebrania ni Sheol. iko wazi mbele za Mungu; 2 Uharibifu + 26:6 Kwa Kiebrania ni Abadon. haukufunikwa. 1

Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1

Proverbs 30:16Ni kaburi, tumbo lisilozaa, 2 nchi isiyoshiba maji kamwe, 2 na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’ 1

Ecclesiastes 2:10Sikujinyima kitu chochote ambacho macho yangu yalikitamani, 2 hakuna anasa ambayo niliunyima moyo wangu. 1 Moyo wangu ulifurahia kazi zangu zote, 2 hii ilikuwa thawabu ya kazi zangu zote. 1

Ecclesiastes 5:10Yeyote apendaye fedha kamwe 2 hatosheki na fedha; 1 yeyote apendaye utajiri kamwe 2 hatosheki na kipato chake. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1

Isaiah 5:14Kwa hiyo kaburi + 5:14 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. limeongeza hamu yake 2 na kupanua mdomo wake bila kikomo, 1 ndani mwake watashuka wakuu wao na wingi wa watu, 2 pamoja na wagomvi wao, na wafanyao sherehe wote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 27:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 27:19Proverbs 27Proverbs 27:21 →