Proverbs 27:25
Wakati majani makavu yameondolewa 2 na mapya yamechipua, 2 nayo majani toka milimani yamekusanywa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The hay appeareth, and the tender grass sheweth itself, and herbs of the mountains are gathered.
In Context
24Kwa kuwa utajiri haudumu milele, 2 nayo taji haidumu vizazi vyote. 1
26wana-kondoo watakupatia mavazi 2 na mbuzi thamani ya shamba. 1
Cross References
Psalms 104:14Huyafanya majani ya mifugo yaote, 2 na mimea kwa watu kulima, 2 wajipatie chakula kutoka ardhini: 1
Proverbs 10:5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi 2 ni mwana mwenye hekima, 1 lakini yeye alalaye wakati wa mavuno 2 ni mwana mwenye kuaibisha. 1