Proverbs 10:5
Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi 2 ni mwana mwenye hekima, 1 lakini yeye alalaye wakati wa mavuno 2 ni mwana mwenye kuaibisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini 2 lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 1
6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Cross References
Proverbs 6:8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi 2 na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. 1
Proverbs 17:2Mtumishi mwenye hekima atatawala juu ya mwana aaibishaye, 2 naye atashirikiana katika urithi kama mmoja wa hao ndugu. 1
Proverbs 27:25Wakati majani makavu yameondolewa 2 na mapya yamechipua, 2 nayo majani toka milimani yamekusanywa, 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1