Proverbs 28:2
Wakati nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi, 2 bali mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, 2 bali wenye haki ni wajasiri kama simba. 1
3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi 2 ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 1
Cross References
1 Kings 15:25Nadabu mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Asa wa Yuda, naye akatawala Israeli kwa miaka miwili.
1 Kings 16:8Katika mwaka wa ishirini na sita wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala huko Tirsa kwa miaka miwili.
2 Kings 15:8Katika mwaka wa thelathini na nane wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda, Zekaria mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika Samaria, naye akatawala miezi sita.
2 Chronicles 36:1Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
Ecclesiastes 9:15Katika mji huo kulikuwepo mtu mmoja maskini lakini mwenye hekima, naye akauokoa ule mji kwa hekima yake. Lakini hakuna aliyemkumbuka yule maskini.
Isaiah 58:12Watu wako watajenga tena magofu ya zamani 2 na kuinua misingi ya kale; 1 utaitwa Mwenye Kukarabati Kuta Zilizobomoka, 2 Mwenye Kurejeza Barabara za Makao. 1