The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 29 › Proverbs 29:16

Proverbs 29:16

Wakati waovu wanapostawi, 2 pia dhambi vivyo hivyo, 2 lakini wenye haki wataliona anguko lao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When the wicked are multiplied, transgression increaseth: but the righteous shall see their fall.

In Context

15Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1

17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, 2 atakufurahisha nafsi yako. 1

Read all of Proverbs 29

Cross References

Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1

Psalms 58:10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, 2 watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 1

Psalms 92:9Ee Bwana, hakika adui zako, 2 hakika adui zako wataangamia. 2 Wote watendao mabaya watatawanyika. 1

Psalms 112:8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, 2 mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake. 1

Revelation 15:4Ni nani ambaye hatakuogopa wewe Bwana 2 na kulitukuza jina lako? 1 Kwa kuwa wewe peke yako ndiwe mtakatifu. 1 Mataifa yote yatakuja 2 na kuabudu mbele zako, 1 kwa kuwa matendo yako ya haki 2 yamedhihirishwa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 29:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 29:15Proverbs 29Proverbs 29:17 →