Proverbs 29:15
Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The rod and reproof give wisdom: but a child left to himself bringeth his mother to shame.
In Context
14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, 2 kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 1
16Wakati waovu wanapostawi, 2 pia dhambi vivyo hivyo, 2 lakini wenye haki wataliona anguko lao. 1
Cross References
1 Kings 1:6(Baba yake hakuwa ameingilia na kumuuliza, “Kwa nini unafanya hivyo?” Alikuwa pia kijana mzuri sana wa sura, na alizaliwa baada ya Absalomu.)
Proverbs 10:5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi 2 ni mwana mwenye hekima, 1 lakini yeye alalaye wakati wa mavuno 2 ni mwana mwenye kuaibisha. 1
Proverbs 17:21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; 2 hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 1
Proverbs 22:6Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, 2 naye hataiacha hata akiwa mzee. 1
Proverbs 23:13Usimnyime mtoto adhabu, 2 ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 1
Proverbs 29:21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, 2 atamletea sikitiko mwishoni. 1