Proverbs 3:24
ulalapo, hautaogopa; 2 ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Kisha utaenda katika njia yako salama, 2 wala mguu wako hautajikwaa; 1
25Usiogope maafa ya ghafula 2 au maangamizi yanayowapata waovu, 1
Cross References
Leviticus 26:6“ ‘Nitawapa amani katika nchi, mpate kulala pasipo kutiwa hofu na yeyote. Nitawaondoa wanyama wakali watoke kwenye nchi, nao upanga hautapita katika nchi yenu.
Job 11:19Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, 2 naam, wengi watajipendekeza kwako. 1
Psalms 3:6Sitaogopa makumi elfu ya adui, 2 wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 1
Psalms 91:5Hutaogopa vitisho vya usiku, 2 wala mshale urukao mchana, 1
Psalms 127:2Mnajisumbua bure kuamka mapema 2 na kuchelewa kulala, 1 mkitaabikia chakula: 2 kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 1
Proverbs 19:23Kumcha Bwana huongoza kwenye uzima, 2 kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, 2 bila kuguswa na shida. 1