The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 11 › Ayubu 11:19

Ayubu 11:19

Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, 2 naam, wengi watajipendekeza kwako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Also thou shalt lie down, and none shall make thee afraid; yea, many shall make suit unto thee.

In Context

18Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; 2 utatazama pande zote na kupumzika kwa salama. 1

20Bali macho ya waovu hayataona, 2 wokovu utawaepuka; 1 tarajio lao litakuwa ni hangaiko 2 la mtu anayekata roho.”

Read all of Ayubu 11

Cross References

Genesis 26:26Wakati huo, Abimeleki alikuwa amemjia kutoka Gerari, akifuatana na Ahuzathi mshauri wake, pamoja na Fikoli jemadari wa majeshi yake.

2 Chronicles 20:30Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amemstarehesha pande zote. 1 Mwisho Wa Utawala Wa Yehoshafati (1 Wafalme 22:41-50)

Psalms 45:12Binti wa Tiro atakuletea zawadi, 2 watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 1

Isaiah 45:14Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mazao ya Misri na bidhaa za Kushi, 2 nao wale Waseba warefu, 1 watakujia na kuwa wako, 2 watakujia wakijikokota nyuma yako, 2 watakujia wamefungwa minyororo. 1 Watasujudu mbele yako 2 wakikusihi na kusema, 1 ‘Hakika Mungu yu pamoja nawe, 2 wala hakuna mwingine; 2 hakuna Mungu mwingine.’ ” 1

Ezekiel 34:28Hawatatekwa tena nyara na mataifa, wala wanyama pori hawatawala tena. Wataishi kwa salama, wala hakuna yeyote atakayewatia hofu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 11:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 11:18Ayubu 11Ayubu 11:20 →