The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:35

Proverbs 3:35

Wenye hekima hurithi heshima, 2 bali huwaaibisha wapumbavu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The wise shall inherit glory: but shame shall be the promotion of fools.

In Context

34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, 2 lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1

Proverbs 4:8Mstahi, naye atakukweza; 2 mkumbatie, naye atakuheshimu. 1

Proverbs 13:8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, 2 bali mtu maskini hasikii kitisho. 1

Daniel 12:2Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.

Luke 14:9Kama mkifanya hivyo yule aliyewaalika ninyi wawili atakuja na kukuambia, ‘Mpishe huyu mtu kiti chako.’ Ndipo kwa aibu utalazimika kukaa katika nafasi ya chini kabisa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:34Proverbs 3