Daniel 12:2
Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 12:8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, 2 bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 1
Isaiah 66:24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”
Ezekiel 37:1Mkono wa Bwana ulikuwa juu yangu, naye akanitoa nje kwa Roho wa Bwana na kuniweka katikati ya bonde lililokuwa limejaa mifupa tele.
Hosea 13:14“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi, 2 nitawakomboa kutoka mautini. 1 Yako wapi, ee mauti, mateso yako? 1 Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako? 1 “Sitakuwa na huruma, 2
Matthew 25:46“Ndipo hawa watakapoingia kwenye adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.”
John 11:23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.”