The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:4

Proverbs 3:4

Ndipo utapata kibali na jina zuri 2 mbele za Mungu na mwanadamu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So shalt thou find favour and good understanding in the sight of God and man.

In Context

3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; 2 vifunge shingoni mwako, 2 viandike katika ubao wa moyo wako. 1

5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote 2 wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Genesis 39:2Bwana alikuwa pamoja na Yosefu, naye akastawi, Yosefu akaishi nyumbani kwa bwana wake Mmisri.

Genesis 39:21Bwana alikuwa pamoja naye, akamhurumia na kumpa kibali mbele ya msimamizi wa gereza.

1 Samuel 2:21Bwana akawa mwenye neema kwa Hana, naye akapata mimba akazaa wana watatu na binti wawili. Wakati huo, kijana Samweli akaendelea kukua mbele za Bwana.

Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.

Luke 2:52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Romans 14:18Kwa sababu mtu yeyote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na kukubaliwa na wanadamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:3Proverbs 3Proverbs 3:5 →