The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:5

Proverbs 3:5

Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote 2 wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Trust in the LORD with all thine heart; and lean not unto thine own understanding.

In Context

4Ndipo utapata kibali na jina zuri 2 mbele za Mungu na mwanadamu. 1

6katika njia zako zote mkiri yeye, 2 naye atayanyoosha mapito yako. 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Ezra 8:23Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu wetu kuhusu jambo hili, naye akajibu maombi yetu.

Psalms 37:3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; 2 Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 1

Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1

Psalms 115:9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, 2 yeye ni msaada na ngao yao. 1

Psalms 146:3Usiweke tumaini lako kwa wakuu, 2 kwa wanadamu ambao hufa, 2 ambao hawawezi kuokoa. 1

Proverbs 22:19Ili tumaini lako liwe katika Bwana, 2 hata wewe, ninakufundisha leo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:4Proverbs 3Proverbs 3:6 →