Proverbs 30:26
Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo 2 hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The conies are but a feeble folk, yet make they their houses in the rocks;
In Context
27Nzige hawana mfalme, 2 hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 1
Cross References
Psalms 104:18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, 2 majabali ni kimbilio la pelele. 1