Proverbs 30:27
Nzige hawana mfalme, 2 hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The locusts have no king, yet go they forth all of them by bands;
In Context
26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo 2 hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 1
28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, 2 hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 1
Cross References
Exodus 10:13Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, Bwana akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige.
Exodus 10:15Wakafunika ardhi yote mpaka ardhi ikawa nyeusi. Wakatafuna kile chote kilichokuwa kimebakizwa na ile mvua ya mawe, kila kitu kiotacho mashambani pamoja na matunda kwenye miti. Hakuna kitu chochote cha kijani kilichosalia katika miti au mmea katika nchi yote ya Misri.
Joel 1:4Kilichosazwa na kundi la tunutu 2 nzige wakubwa wamekula, 1 kilichosazwa na nzige wakubwa 2 parare wamekula, 1 kilichosazwa na parare 2 madumadu wamekula. 1
Joel 2:7Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; 2 wanapanda kuta kama askari. 1 Wote wanatembea katika safu, 2 hawapotoshi safu zao. 1
Joel 2:25“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige: 2 parare, madumadu na tunutu, 1 jeshi langu kubwa ambalo 2 nililituma katikati yenu. 1