Proverbs 30:29
“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao, 2 naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There be three things which go well, yea, four are comely in going:
In Context
28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, 2 hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 1
30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, 2 asiyerudi nyuma kwa chochote; 1
Cross References
Proverbs 30:15“Mruba anao binti wawili waliao, 2 ‘Nipe! Nipe!’ 1 “Kuna vitu vitatu visivyotosheka kamwe, 2 naam, viko vinne visivyosema, ‘Yatosha!’: 1