Proverbs 30:15
“Mruba anao binti wawili waliao, 2 ‘Nipe! Nipe!’ 1 “Kuna vitu vitatu visivyotosheka kamwe, 2 naam, viko vinne visivyosema, ‘Yatosha!’: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Ni kaburi, tumbo lisilozaa, 2 nchi isiyoshiba maji kamwe, 2 na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’ 1
Cross References
Proverbs 30:21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka, 2 naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia: 1
Proverbs 30:29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao, 2 naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 1
Isaiah 57:3“Lakini ninyi: 2 Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, 2 ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! 1
Hosea 4:18Hata wakati wamemaliza vileo vyao 2 wanaendelea na ukahaba wao, 1 watawala wao hupenda sana 2 njia za aibu. 1
Amos 1:6Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Gaza, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu walichukua mateka jumuiya nzima 2 na kuwauza kwa Edomu, 1
Amos 1:11Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Kwa dhambi tatu za Edomu, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu alimfuatia ndugu yake kwa upanga, 2 alikataa kuonyesha huruma yoyote, 1 kwa sababu hasira yake kali iliendelea kupanda wakati wote 2 na ghadhabu iliwaka bila kuzuiliwa. 1