Mithali 30:8
Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; 2 usinipe umaskini wala utajiri, 2 bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana; 2 usininyime kabla sijafa: 1
Cross References
Genesis 28:20Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Kama Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari niendayo, akinipa chakula nile na nguo nivae
Exodus 16:15Waisraeli walipoona, wakaambiana, “Hiki ni nini?” Kwa kuwa hawakujua kilikuwa kitu gani. Mose akawaambia, “Huu ndio mkate ambao Bwana amewapa mle.
Exodus 16:21Kila asubuhi, kila mmoja alikusanya kiasi alichohitaji na jua lilipokuwa kali, iliyeyuka.
Exodus 16:35Waisraeli wakala mana kwa miaka arobaini, mpaka walipofika katika nchi iliyokaliwa na watu; walikula mana hadi walipofika mpakani mwa Kanaani.
Job 23:12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; 2 nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 1
Psalms 119:29Niepushe na njia za udanganyifu, 2 kwa neema unifundishe sheria zako. 1