Proverbs 31:12
Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, 2 siku zote za maisha yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She will do him good and not evil all the days of her life.
In Context
11Mume wake anamwamini kikamilifu 2 wala hakosi kitu chochote cha thamani. 1
13Huchagua sufu na kitani 2 naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 1
Cross References
1 Samuel 25:26“Basi sasa, kwa kuwa Bwana amekuzuia, wewe bwana wangu, kutokumwaga damu na kutolipiza kisasi kwa mikono yako mwenyewe, hakika kama Bwana aishivyo na kama uishivyo, maadui zako na wote wanaokusudia kumdhuru bwana wangu wawe kama Nabali.