Proverbs 31:11
Mume wake anamwamini kikamilifu 2 wala hakosi kitu chochote cha thamani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The heart of her husband doth safely trust in her, so that he shall have no need of spoil.
In Context
12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, 2 siku zote za maisha yake. 1
Cross References
2 Kings 4:9Akamwambia mumewe, “Ninajua kwamba huyu mtu ambaye anakuja kwetu mara kwa mara ni mtu mtakatifu wa Mungu.
1 Peter 3:1Kadhalika enyi wake, watiini waume zenu, ili kama kunao wasioamini lile neno, wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno,