Proverbs 31:2
“Ee mwanangu, ee mwana wa tumbo langu, 2 ee mwana wa nadhiri zangu, + 31:2 Au: Ewe uliye jibu la maombi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What, my son? and what, the son of my womb? and what, the son of my vows?
In Context
1Misemo ya Mfalme Lemueli, usia wa mama yake aliyomfundisha: 1
3Usitumie nguvu zako kwa wanawake, 2 uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. 1
Cross References
1 Samuel 1:28Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana.” Naye akamwabudu Bwana huko.