Proverbs 31:3
Usitumie nguvu zako kwa wanawake, 2 uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Give not thy strength unto women, nor thy ways to that which destroyeth kings.
In Context
Cross References
Deuteronomy 17:17Kamwe asioe wake wengi, la sivyo moyo wake utapotoka. Kamwe asijilimbikizie kiasi kikubwa cha fedha na dhahabu.
Nehemiah 13:26Je, Solomoni hakutenda dhambi kwa sababu ya wanawake wa namna hiyo? Miongoni mwa mataifa mengi hapakuwepo mfalme kama yeye. Alipendwa na Mungu wake. Naye Mungu alimweka kuwa mfalme juu ya Israeli yote, lakini hata yeye, wanawake wa mataifa mengine walimfanya atende dhambi.
Proverbs 7:26Aliowaangusha ni wengi; 2 aliowachinja ni kundi kubwa. 1