Proverbs 31:8
“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, 2 kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Open thy mouth for the dumb in the cause of all such as are appointed to destruction.
In Context
7Wanywe na kusahau umaskini wao 2 na wasikumbuke taabu yao tena. 1
Cross References
1 Samuel 19:6Sauli akamsikiliza Yonathani na kuapa hivi: “Hakika kama Bwana aishivyo, Daudi hatauawa.”
1 Samuel 22:14Ahimeleki akamjibu mfalme, “Ni nani miongoni mwa watumishi wako wote aliye mwaminifu kama Daudi, mkwewe mfalme, kiongozi wa walinzi wako na anayeheshimika sana katika watu wa nyumbani mwako?
Job 29:9wakuu wakaacha kuzungumza 2 na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 1
Psalms 79:11Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; 2 kwa nguvu za mkono wako 2 hifadhi wale waliohukumiwa kufa. 1
Proverbs 24:7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, 2 katika kusanyiko langoni 2 hana lolote la kusema. 1
Jeremiah 21:12Ewe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi, 2 mwokoeni mikononi mwa mdhalimu 2 yeye aliyetekwa nyara, 1 la sivyo ghadhabu yangu italipuka 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mlioufanya: 2 itawaka na hakuna wa kuizima. 1