The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 21 › Yeremia 21:12

Yeremia 21:12

Ewe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi, 2 mwokoeni mikononi mwa mdhalimu 2 yeye aliyetekwa nyara, 1 la sivyo ghadhabu yangu italipuka 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mlioufanya: 2 itawaka na hakuna wa kuizima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O house of David, thus saith the LORD; Execute judgment in the morning, and deliver him that is spoiled out of the hand of the oppressor, lest my fury go out like fire, and burn that none can quench it, because of the evil of your doings.

In Context

11“Zaidi ya hayo, ambia nyumba ya mfalme ya Yuda, ‘Sikia neno la Bwana,

13Niko kinyume nawe, ee Yerusalemu, 2 wewe uishiye juu ya bonde hili 2 kwenye uwanda wa juu wa miamba, 4 asema Bwana, 1 wewe usemaye, “Ni nani awezaye kuja kinyume chetu? 2 Nani ataingia mahali pa kimbilio letu?” 1

Read all of Yeremia 21

Cross References

Leviticus 26:28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.

2 Samuel 8:15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.

Psalms 72:1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, 2 mwana wa mfalme kwa haki yako. 1

Psalms 82:2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1

Psalms 101:8Kila asubuhi nitawanyamazisha 2 waovu wote katika nchi; 1 nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya 2 kutoka mji wa Bwana.

Proverbs 31:8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, 2 kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 21:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 21:11Yeremia 21Yeremia 21:13 →