Proverbs 4:5
Pata hekima, pata ufahamu; 2 usiyasahau maneno yangu wala usiyaache. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Get wisdom, get understanding: forget it not; neither decline from the words of my mouth.
In Context
6Usimwache hekima naye atakuweka salama; 2 mpende, naye atakulinda. 1
Cross References
Job 23:11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; 2 nimeishika njia yake bila kukengeuka. 1
Psalms 119:51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, 2 hata hivyo sitaiacha sheria yako. 1
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Proverbs 16:16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, 2 kuchagua ufahamu kuliko fedha! 1
Proverbs 18:1Mtu ajitengaye na wengine 2 hufuata matakwa yake mwenyewe; 2 hupiga vita kila shauri jema. 1