The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 1 › Proverbs 1:22

Proverbs 1:22

“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How long, ye simple ones, will ye love simplicity? and the scorners delight in their scorning, and fools hate knowledge?

In Context

21kwenye makutano ya barabara za mji 2 zenye makelele mengi hupaza sauti, 2 kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 1

23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1

Read all of Proverbs 1

Cross References

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

Numbers 14:27“Jumuiya hii ovu itanungʼunika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonungʼunika.

Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1

Proverbs 1:4huwapa busara wajinga, 2 maarifa na akili kwa vijana; 1

Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1

Proverbs 5:12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 1:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 1:21Proverbs 1Proverbs 1:23 →