The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 5 › Proverbs 5:10

Proverbs 5:10

wageni wasije wakasherehekea utajiri wako 2 na jitihada yako ikatajirisha 2 nyumba ya mwanaume mwingine. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lest strangers be filled with thy wealth; and thy labours be in the house of a stranger;

In Context

9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine 2 na miaka yako kwa aliye mkatili, 1

11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, 2 wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 1

Read all of Proverbs 5

Cross References

Proverbs 29:3Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake, 2 bali aambatanaye na makahaba hutapanya mali yake. 1

Hosea 7:9Wageni wananyonya nguvu zake, 2 lakini hafahamu hilo. 1 Nywele zake zina mvi hapa na pale, 2 lakini hana habari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 5:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 5:9Proverbs 5Proverbs 5:11 →