Proverbs 5:9
usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine 2 na miaka yako kwa aliye mkatili, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lest thou give thine honour unto others, and thy years unto the cruel:
In Context
8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Cross References
Genesis 38:23Kisha Yuda akasema, “Mwache avichukue vitu hivyo, ama sivyo tutakuwa kichekesho. Hata hivyo, nilimpelekea mwana-mbuzi, lakini hukumkuta.”
Nehemiah 13:26Je, Solomoni hakutenda dhambi kwa sababu ya wanawake wa namna hiyo? Miongoni mwa mataifa mengi hapakuwepo mfalme kama yeye. Alipendwa na Mungu wake. Naye Mungu alimweka kuwa mfalme juu ya Israeli yote, lakini hata yeye, wanawake wa mataifa mengine walimfanya atende dhambi.
Hosea 4:13Wanatoa dhabihu juu ya vilele vya milima 2 na sadaka za kuteketezwa juu ya vilima, 1 chini ya mialoni, milibua na miela, 2 ambako kuna vivuli vizuri. 1 Kwa hiyo binti zenu wamegeukia ukahaba 2 na wake za wana wenu uzinzi. 1