Proverbs 5:13
Sikuwatii walimu wangu 2 wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And have not obeyed the voice of my teachers, nor inclined mine ear to them that instructed me!
In Context
12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1
14Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa 2 katikati ya kusanyiko lote.” 1
Cross References
1 Kings 12:14akafuata shauri la vijana wa rika lake na kusema, “Baba yangu alifanya nira yenu kuwa nzito, mimi nitaifanya kuwa nzito zaidi. Baba yangu aliwachapa kwa mijeledi, mimi nitawachapa kwa nge.”
1 Thessalonians 4:8Kwa hiyo, mtu yeyote anayekataa mafundisho haya hamkatai mwanadamu, bali anamkataa Mungu anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.
Hebrews 13:7Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Angalieni matokeo ya mwenendo wa maisha yao mkaiige imani yao.