Proverbs 7:5
watakuepusha na mwanamke mzinzi, 2 kutokana na mwanamke mpotovu 2 na maneno yake ya kubembeleza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That they may keep thee from the strange woman, from the stranger which flattereth with her words.
In Context
4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,” 2 uite ufahamu jamaa yako; 1
6Kwenye dirisha la nyumba yangu 2 nilitazama nje kupitia upenyo 2 kwenye mwimo wa dirisha. 1
Cross References
Proverbs 2:16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, 2 kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno 2 ya kushawishi kutenda ubaya, 1
Proverbs 6:24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, 2 kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 1