Proverbs 6:13
ambaye anakonyeza kwa jicho lake, 2 anayetoa ishara kwa miguu yake 2 na kuashiria kwa vidole vyake, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He winketh with his eyes, he speaketh with his feet, he teacheth with his fingers;
In Context
12Mtu mbaya sana na mlaghai, 2 ambaye huzungukazunguka 3 na maneno ya upotovu, 2
14ambaye hupanga ubaya 3 kwa udanganyifu moyoni mwake: 2 daima huchochea fitina. 1
Cross References
Job 15:12Kwa nini moyo wako unakudanganya, 2 na kwa nini macho yako yanangʼaa, 1
Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1
Proverbs 10:10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1