Proverbs 6:14
ambaye hupanga ubaya 3 kwa udanganyifu moyoni mwake: 2 daima huchochea fitina. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Frowardness is in his heart, he deviseth mischief continually; he soweth discord.
In Context
15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; 2 ataangamizwa mara, pasipo msaada. 1
Cross References
Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1
Proverbs 2:14wale wapendao kutenda mabaya 2 na kufurahia upotovu wa ubaya, 1
Proverbs 3:32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, 2 lakini siri yake iko kwa mwenye haki. 1
Proverbs 14:22Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? 2 Bali wale wanaopanga kilicho chema 2 hupata upendo na uaminifu. 1
Proverbs 21:8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, 2 bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 1
Proverbs 24:8Yeye apangaye mabaya 2 atajulikana kama mtu wa hila. 1