Proverbs 6:21
Yafunge katika moyo wako daima, 2 yakaze kuizunguka shingo yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Bind them continually upon thine heart, and tie them about thy neck.
In Context
20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Cross References
Exodus 13:9Adhimisho hili, litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya Bwana inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa Bwana alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.
Deuteronomy 6:8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.
Proverbs 4:6Usimwache hekima naye atakuweka salama; 2 mpende, naye atakulinda. 1
Proverbs 7:3Yafunge katika vidole vyako; 2 yaandike katika kibao cha moyo wako. 1