Proverbs 6:22
Wakati utembeapo, yatakuongoza; 2 wakati ulalapo, yatakulinda; 2 wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Yafunge katika moyo wako daima, 2 yakaze kuizunguka shingo yako. 1
23Kwa maana amri hizi ni taa, 2 mafundisho haya ni mwanga 2 na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 1
Cross References
Psalms 3:6Sitaogopa makumi elfu ya adui, 2 wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 1
Psalms 43:3Tuma hima nuru yako na kweli yako 2 na viniongoze; 1 vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, 2 mpaka mahali unapoishi. 1
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
Psalms 119:54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu 2 popote ninapoishi. 1
Psalms 119:148Sikufumba macho yangu usiku kucha, 2 ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 1
Proverbs 3:23Kisha utaenda katika njia yako salama, 2 wala mguu wako hautajikwaa; 1