Proverbs 6:3
basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru, 2 kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako: 1 Nenda ukajinyenyekeshe kwake; 2 msihi jirani yako! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2kama umetegwa na ulichosema, 2 umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, 1
4Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1
Cross References
Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.
2 Chronicles 12:5Ndipo nabii Shemaya akaja kwa Rehoboamu na kwa viongozi wa Yuda waliokuwa wamekusanyika huko Yerusalemu kwa ajili ya hofu ya Shishaki naye akawaambia, “Hivi ndivyo asemavyo Bwana, ‘Ninyi mmeniacha mimi, kwa hiyo, mimi nami sasa ninawaacha ninyi mkononi mwa Shishaki.’ ”
Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1