The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 6 › Proverbs 6:4

Proverbs 6:4

Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Give not sleep to thine eyes, nor slumber to thine eyelids.

In Context

3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru, 2 kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako: 1 Nenda ukajinyenyekeshe kwake; 2 msihi jirani yako! 1

5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, 2 kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. 1

Read all of Proverbs 6

Cross References

Psalms 55:7Ningalitorokea mbali sana 2 na kukaa jangwani, 1

Proverbs 6:10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, 2 bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 1

Matthew 24:17Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba.

John 5:4Kwa maana malaika alikuwa akishuka wakati fulani, akayatibua maji. Yule aliyekuwa wa kwanza kuingia ndani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao].

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 6:3Proverbs 6Proverbs 6:5 →