Proverbs 6:34
kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume, 2 naye hataonyesha huruma alipizapo kisasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For jealousy is the rage of a man: therefore he will not spare in the day of vengeance.
In Context
33Mapigo na aibu ni fungu lake 2 na aibu yake haitafutika kamwe; 1
35Hatakubali fidia yoyote; 2 atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani.
Cross References
Numbers 5:14nazo hisia za wivu zikamjia mumewe na kumshuku mkewe, naye mke yule ni najisi, au mumewe ana wivu na akamshuku ingawa si najisi,
Judges 19:29Alipofika nyumbani, akachukua kisu na kumkatakata yule suria kiungo kwa kiungo, sehemu kumi na mbili, na kuvipeleka hivyo vipande katika sehemu zote za Israeli.
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1
1 Corinthians 10:22Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye? 1 Fanyeni Yote Kwa Utukufu Wa Mungu