Proverbs 6:8
lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi 2 na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Provideth her meat in the summer, and gathereth her food in the harvest.
In Context
7Kwa maana yeye hana msimamizi, 2 wala mwangalizi, au mtawala, 1
9Ewe mvivu, utalala hata lini? 2 Utaamka lini kutoka usingizi wako? 1
Cross References
Proverbs 10:5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi 2 ni mwana mwenye hekima, 1 lakini yeye alalaye wakati wa mavuno 2 ni mwana mwenye kuaibisha. 1
Proverbs 30:25Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, 2 hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. 1