Proverbs 7:19
Mume wangu hayupo nyumbani; 2 amekwenda safari ya mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the goodman is not at home, he is gone a long journey:
In Context
18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; 2 tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! 1
20Amechukua mkoba uliojazwa fedha 2 na hatakuwepo nyumbani karibuni.” 1
Cross References
Matthew 20:11Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba,
Matthew 24:48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’
Luke 12:39Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.