Proverbs 7:20
Amechukua mkoba uliojazwa fedha 2 na hatakuwepo nyumbani karibuni.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath taken a bag of money with him, and will come home at the day appointed.
In Context
19Mume wangu hayupo nyumbani; 2 amekwenda safari ya mbali. 1
21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1
Cross References
Numbers 5:13kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine, tendo hili likafichika kwa mumewe na unajisi wake usigundulike (kwa kuwa hakuna ushahidi dhidi yake, naye hakukamatwa katika tendo hilo),
Proverbs 9:17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1