Job 13:27
Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. 2 Unazichunga kwa makini njia zangu zote 2 kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu 2 na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 1
28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.
Cross References
Job 2:7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.
Job 10:6ili kwamba utafute makosa yangu 2 na kuichunguza dhambi yangu; 1
Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1
Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1