Proverbs 7:4
Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,” 2 uite ufahamu jamaa yako; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Say unto wisdom, Thou art my sister; and call understanding thy kinswoman:
In Context
3Yafunge katika vidole vyako; 2 yaandike katika kibao cha moyo wako. 1
5watakuepusha na mwanamke mzinzi, 2 kutokana na mwanamke mpotovu 2 na maneno yake ya kubembeleza. 1
Cross References
Job 17:14kama nikiuambia uharibifu, ‘Wewe u baba yangu,’ 2 na kuliambia buu, ‘Wewe u mama yangu’ au ‘Dada yangu,’ 1
Proverbs 4:6Usimwache hekima naye atakuweka salama; 2 mpende, naye atakulinda. 1
Matthew 12:49Akawanyooshea mkono wanafunzi wake, akasema, “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu zangu!